"Elimika, Elimisha, Burudisha"

 1. Yose Hoza
 2. Afya
 3. Ijumaa, 19 Januari 2018
Ubongo wa binadamu hufikia kikomo cha Makuzi (maturity) pale anapofikisha umri wa miaka 25

Ubongo wa binadamu mwenye akili timamu huweza kupata mawazo 2500-5000 kwa siku

Ubongo wa mwanaume umeuzidi ubongo wa mwanamke 10% lakini mwanamke ana uwezo mkubwa wa kutunza kumbukumbu kuliko mwanaume

Kiungo pekee cha binadamu ambacho ni Ngumu kugushi Alama ni ULIMI kila mtu ana alama ramani tofauti ya ULIMI na mtu mwingine

Ukinenepa na ulimi hunenepa pia, Unene wa ulimi huathiri uzito wa sauti na wepesi wa kuongea

Ukikosa Akili/Busara/Maarifa basi kiungo pekee kinachoweza kuthibitisha hayo ni Ulimi kupitia mdomo, chunga sana ulimi wako utakuponza

Wanawake wana Ulimi mfupi kuliko wanaume, lakini Ulimi wao ni Mwepesi

Wanawake wana hatari zaidi ya kupatwa na shambulio la moyo kutokana na kuwa na Msongo mkubwa wa mawazo

Inashauriwa Usiingie kitandani kulala ukiwa na msongo wa Mawazo pia maumivu moyoni au Umefunga hasira madhara yake ni makubwa

Hisia kali husononesha moyo na kushindwa kusukuma damu kama ilivyo kawaida ni rahisi kupata Shinikizo la Damu (High/low blood Pressure)

Inashauriwa kukaa sehemu inayo kufanya upate furaha ama kufanya shughuli zinazo ondoa hali ya Sononeko

JUMATATU ni siku ambayo watu wengi hupata shambulio la Moyo

Kukosa Kifungua Kinywa Mara kwa Mara husababisha chembechembe kwenye Mishipa ya damu na kuongeza uwezekano wa kupata maradhi ya Moyo

Kuwa na Msongo wa mawazo huchangia shinikizo la damu ambalo Husababisha KIHARUSI

KIHARUSI ni Ugonjwa unao sababisha viungo vya Mwili kupooza kutokana na kuvuja damu/kuziba kwa mishipa ya damu kwenye Ubongo

Ubongo ukikosa damu kwa saa 24 husababisha Chembechembea hai kufa baada ya kukosa hewa safi na virutubisho vingine
Maoni
Hakuna maoni kwa sasa.


Hakuna maoni yoyote kwa sasa. Kuwa wa kwanza kutoa maoni yako!
Guest
Wasilisha Maoni Yako
Sakinisha faili au picha kwenye mjadala huu kwa kubonyeza kitufe cha sakinisha hapa chini. Inapokea gif,jpg,png,jpeg,zip,rar,pdf
• Insert • Futa Sakinisha faili (Lisizidi ukubwa wa: 2 MB
Weka Eneo Ulipo

Kuweka eneo ulilopo wakati wa kutoa maoni yako inawezesha wajumbe kujua mahali ulipo.

Latitude:
Longitude:

Jukwaa la Elimika

Mijadala

Afya
 1. Mijadala 6
 2. MIjadala midogo
Kiswahili
 1. Mijadala 20
 2. MIjadala midogo
Michezo
 1. 1 post
 2. MIjadala midogo
Teknolojia
 1. Mijadala 8
 2. MIjadala midogo
Mchanganyiko
 1. Mijadala 18
 2. MIjadala midogo

WASILIANA NASI

Elimika, Ghana Avenue, Posta House
SLP: 73622 Dar Es Salaam, Tanzania
Simu: 0764 006 222
Barua Pepe: info@elimika.co.tz

UNGANA NASI

VIGEZO NA MASHARTI

Ni haki yako kuzifanya taarifa zako kuwa za siri, hivyo basi, taarifa zako ni siri yako na hazitasambazwa popote ila zile zilizo upenuni, zitatumika kwaajili ya maendeleo ya jukwaa hili. Soma Zaidi

©2018 Elimika. Haki Zote Zimehifadhiwa. Imeundwa na SphereCom.

Search