"Elimika, Elimisha, Burudisha"

 1. Jalilu Zaid
 2. Michezo
 3. Ijumaa, 09 Machi 2018
https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2016/01/baby-psa2.jpg
Watoto wengi wamekua hawapati muda wa kutosha kwa ajili ya mazoezi ya viungo kwa sababu kuu mbili. Mzazi kumkata mtoto kucheza kwa hofu kuwa atachafuka au kuumia na pili watoto wengi wanacheza michezo ya kidijitali (michezo ya simu). Kuna umuhimu mkubwa sana mtoto akipata angalau saa moja kwa ajili ya viungo. Zifuatazo ni baadhi ya faida za mazoezi kwa watoto

1: Kuepuka uzito mkubwa akiwa mtu mzima pamoja na magonjwa yote yanayo ambatana. Magonjwa kama kisukari na shinikizo la damu yanaweza kuepukika endapo ukimzoesha mtoto kufanya mazoezi tangu akiwa mdogo.

2: Humsaidia mtoto katika kufikiri vizuri, mara nyingi watoto wanaofanya mazoezi wanakua na uwezo mzuri wa kufikiri na kufanya kazi cizuri zaidi.

3. Hujenga misuli na mifupa ya mtoto vizuri zaidi na kuongeza kinga ya mwili.
Ni vema kusisitiza michezo kwa watoto.

4. Hujenga urafiki na wenzake.

5. Huimarisha uhusiano na mzazi.

Karibu na wewe utushirikiahe faida zingine za michezo kwa watoto wadogo.
Maoni
Hakuna maoni kwa sasa.


Hakuna maoni yoyote kwa sasa. Kuwa wa kwanza kutoa maoni yako!
Guest
Wasilisha Maoni Yako
Sakinisha faili au picha kwenye mjadala huu kwa kubonyeza kitufe cha sakinisha hapa chini. Inapokea gif,jpg,png,jpeg,zip,rar,pdf
• Insert • Futa Sakinisha faili (Lisizidi ukubwa wa: 2 MB
Weka Eneo Ulipo

Kuweka eneo ulilopo wakati wa kutoa maoni yako inawezesha wajumbe kujua mahali ulipo.

Latitude:
Longitude:

Jukwaa la Elimika

Mijadala

Afya
 1. Mijadala 6
 2. MIjadala midogo
Kiswahili
 1. Mijadala 20
 2. MIjadala midogo
Michezo
 1. Mijadala 2
 2. MIjadala midogo
Teknolojia
 1. Mijadala 8
 2. MIjadala midogo
Mchanganyiko
 1. Mijadala 19
 2. MIjadala midogo

WASILIANA NASI

Elimika, Ghana Avenue, Posta House
SLP: 73622 Dar Es Salaam, Tanzania
Simu: 0764 006 222
Barua Pepe: info@elimika.co.tz

UNGANA NASI

VIGEZO NA MASHARTI

Ni haki yako kuzifanya taarifa zako kuwa za siri, hivyo basi, taarifa zako ni siri yako na hazitasambazwa popote ila zile zilizo upenuni, zitatumika kwaajili ya maendeleo ya jukwaa hili. Soma Zaidi

©2018 Elimika. Haki Zote Zimehifadhiwa. Imeundwa na SphereCom.

Search