"Elimika, Elimisha, Burudisha"

 1. Jalilu Zaid
 2. Teknolojia
 3. Jumanne, 02 Januari 2018
Salaam.! Tunauanza mwaka 2018 kwa hali tofauti tofauti yote kheri ni matumaini yangu utakuwa wa mafanikio kwa kila mmoja wetu kwa nafasi yake na kwa namna ambavyo atajibidiisha zaidi na Mungu alivyompangia ridhiki zake.
Kupitia jukwaa hili naomba kukupa somo kidogo juu ya namna ya kutumia WhatsApp kwenye Kompyuta yako kwa urahisi.


HATUA ZA KUFUATA:

1. Kwenye Kompyuta yako, fungua Google Chrome kisha nenda WhatsApp Web

2. Utaona Kodi ya QR

3. Fungua Application ya WhatsApp kwenye simu yako, Nenda Menu, Chagua WhatsApp Web.

4. Kisha Onesha simu yako katika skrini ya Kompyuta yako kama vile unapotaka kupiga picha eneo la Kodi ya QR kwenye Title


Mpaka hapo utakuwa tayari unaweza kutumia WhatsApp yako kwenye Kompyuta yako. Video nitaiweka Youtube
Maoni
Hakuna maoni kwa sasa.
Michael Kehongoh Accepted Answer Pending Moderation
0
Kura
Undo
Makala Nzuri na yenye elimu tosha. Asante Mtoa Mada.
Maoni
Hakuna maoni kwa sasa.
 1. zaidi ya mwezi 1 uliopita
 2. Teknolojia
 3. # 1
Samptus Accepted Answer Pending Moderation
0
Kura
Undo
Mbali na Google Chrome, nawe za tumia hata Firefox?
Maoni
Hakuna maoni kwa sasa.
 1. zaidi ya mwezi 1 uliopita
 2. Teknolojia
 3. # 2
Amos Anatory Accepted Answer Pending Moderation
0
Kura
Undo
Nitaanza kutumia
  Dar es Salaam, Tanzania
Visit 
Maoni
Hakuna maoni kwa sasa.
 1. zaidi ya mwezi 1 uliopita
 2. Teknolojia
 3. # 3
Samptus Accepted Answer Pending Moderation
0
Kura
Undo
Kaka Jalilu hujanijibu aseee....Mbali na Google Chrome, vipi Firefox pia inaweza tumika?
Maoni
Hakuna maoni kwa sasa.
 1. zaidi ya mwezi 1 uliopita
 2. Teknolojia
 3. # 4
 • Kurasa :
 • 1


Hakuna maoni yoyote kwa sasa. Kuwa wa kwanza kutoa maoni yako!
Guest
Wasilisha Maoni Yako
Sakinisha faili au picha kwenye mjadala huu kwa kubonyeza kitufe cha sakinisha hapa chini. Inapokea gif,jpg,png,jpeg,zip,rar,pdf
• Insert • Futa Sakinisha faili (Lisizidi ukubwa wa: 2 MB
Weka Eneo Ulipo

Kuweka eneo ulilopo wakati wa kutoa maoni yako inawezesha wajumbe kujua mahali ulipo.

Latitude:
Longitude:

Jukwaa la Elimika

Mijadala

Afya
 1. Mijadala 6
 2. MIjadala midogo
Kiswahili
 1. Mijadala 20
 2. MIjadala midogo
Michezo
 1. 1 post
 2. MIjadala midogo
Teknolojia
 1. Mijadala 8
 2. MIjadala midogo
Mchanganyiko
 1. Mijadala 18
 2. MIjadala midogo

WASILIANA NASI

Elimika, Ghana Avenue, Posta House
SLP: 73622 Dar Es Salaam, Tanzania
Simu: 0764 006 222
Barua Pepe: info@elimika.co.tz

UNGANA NASI

VIGEZO NA MASHARTI

Ni haki yako kuzifanya taarifa zako kuwa za siri, hivyo basi, taarifa zako ni siri yako na hazitasambazwa popote ila zile zilizo upenuni, zitatumika kwaajili ya maendeleo ya jukwaa hili. Soma Zaidi

©2018 Elimika. Haki Zote Zimehifadhiwa. Imeundwa na SphereCom.

Search