"Elimika, Elimisha, Burudisha"

 1. Kiiya
 2. Kiswahili
 3. Alhamisi, 25 Januari 2018
Matusi makwenzi kila uchao,
Kazi wiki mzima sina siku ya matao,
Sitaki wacha mbachao kwa msala upitao,
Mimi ni mfanyakazi wa mchana hata usiku.

Siku kaja shoga langu,
Kapitia kama mimi kazi hizi zangu,
Kitambo kajikwamua shukrani kwa Mungu,
Mimi ni mfanyakazi wa mchana hata usiku.

Uhuru nkauta pesa nkazitaka,
Kanambia mtaani mbona pesa ntazipata,
Sasa miaka saba danguroni meikata,
Mimi ni mfanyakazi wa mchana hata usiku.

Niite mwasherati na mpenda zinaa,
Ati zipo kazi lukuki pasi sharti la zinaa,
Kweli mwenye shibe hamjui mwenye njaa,
Mimi ni mfanyakazi wa mchana hata usiku.
Maoni
Hakuna maoni kwa sasa.


Hakuna maoni yoyote kwa sasa. Kuwa wa kwanza kutoa maoni yako!
Guest
Wasilisha Maoni Yako
Sakinisha faili au picha kwenye mjadala huu kwa kubonyeza kitufe cha sakinisha hapa chini. Inapokea gif,jpg,png,jpeg,zip,rar,pdf
• Insert • Futa Sakinisha faili (Lisizidi ukubwa wa: 2 MB
Weka Eneo Ulipo

Kuweka eneo ulilopo wakati wa kutoa maoni yako inawezesha wajumbe kujua mahali ulipo.

Latitude:
Longitude:

Jukwaa la Elimika

Mijadala

Afya
 1. Mijadala 6
 2. MIjadala midogo
Kiswahili
 1. Mijadala 20
 2. MIjadala midogo
Michezo
 1. 1 post
 2. MIjadala midogo
Teknolojia
 1. Mijadala 8
 2. MIjadala midogo
Mchanganyiko
 1. Mijadala 18
 2. MIjadala midogo

WASILIANA NASI

Elimika, Ghana Avenue, Posta House
SLP: 73622 Dar Es Salaam, Tanzania
Simu: 0764 006 222
Barua Pepe: info@elimika.co.tz

UNGANA NASI

VIGEZO NA MASHARTI

Ni haki yako kuzifanya taarifa zako kuwa za siri, hivyo basi, taarifa zako ni siri yako na hazitasambazwa popote ila zile zilizo upenuni, zitatumika kwaajili ya maendeleo ya jukwaa hili. Soma Zaidi

©2018 Elimika. Haki Zote Zimehifadhiwa. Imeundwa na SphereCom.

Search