"Elimika, Elimisha, Burudisha"

 1. Njawa
 2. Mchanganyiko
 3. Jumatatu, 22 Januari 2018
Duniani tunapita tu, mambo yote tutayaacha hapa baada ya kifo. Mimi na wewe tunaweka tumaini wapi?

Mali na vyote tunavyo jaliwa vinapo shindwa kuakisi Upendo wake Mola, mathalani kuwasaidia wengine, kutoa ahueni kwa wengine, ni dhahiri tuna sahau kuwa tume yapata kwakwe na kujikinai katika uwezo wetu.

Anayejitoa kwa moyo katika kuwashirikisha wengine katika mapaji aliyo jaliwa na Mwenyezi Mungu, mtu huyu hamuachi kamwe.

Humbariki zaidi na zaidi, la maana kama ni msaada unaoutoa au ushauri yatende hayo yote kwa dhamiri safi ndani kabisa na si kwa kutafuta kuonekana na kusifiwa katika yale uliyotenda.
Maoni
Hakuna maoni kwa sasa.


Hakuna maoni yoyote kwa sasa. Kuwa wa kwanza kutoa maoni yako!
Guest
Wasilisha Maoni Yako
Sakinisha faili au picha kwenye mjadala huu kwa kubonyeza kitufe cha sakinisha hapa chini. Inapokea gif,jpg,png,jpeg,zip,rar,pdf
• Insert • Futa Sakinisha faili (Lisizidi ukubwa wa: 2 MB
Weka Eneo Ulipo

Kuweka eneo ulilopo wakati wa kutoa maoni yako inawezesha wajumbe kujua mahali ulipo.

Latitude:
Longitude:

Jukwaa la Elimika

Mijadala

Afya
 1. Mijadala 6
 2. MIjadala midogo
Kiswahili
 1. Mijadala 20
 2. MIjadala midogo
Michezo
 1. 1 post
 2. MIjadala midogo
Teknolojia
 1. Mijadala 8
 2. MIjadala midogo
Mchanganyiko
 1. Mijadala 18
 2. MIjadala midogo

WASILIANA NASI

Elimika, Ghana Avenue, Posta House
SLP: 73622 Dar Es Salaam, Tanzania
Simu: 0764 006 222
Barua Pepe: info@elimika.co.tz

UNGANA NASI

VIGEZO NA MASHARTI

Ni haki yako kuzifanya taarifa zako kuwa za siri, hivyo basi, taarifa zako ni siri yako na hazitasambazwa popote ila zile zilizo upenuni, zitatumika kwaajili ya maendeleo ya jukwaa hili. Soma Zaidi

©2018 Elimika. Haki Zote Zimehifadhiwa. Imeundwa na SphereCom.

Search