"Elimika, Elimisha, Burudisha"

 1. Kiiya
 2. Afya
 3. Jumatatu, 22 Januari 2018
Walishasema wahenga, malezi si lelemama,

Kabla ya mimba kutunga, ewe baba ewe mama,

Kwanza anzeni kupanga, namnayo kulea chema,

Mwanao tabia jenga, zungumza kwa hekima.
Maoni
Hakuna maoni kwa sasa.
Njawa Accepted Answer Pending Moderation
0
Kura
Undo
Naam, tena malezi huanza tumboni mwa Mama hata sauti ya Baba inajenga mtoto katika mahusiano baina ya wazazi.
Maoni
Hakuna maoni kwa sasa.
 1. zaidi ya mwezi 1 uliopita
 2. Afya
 3. # 1
 • Kurasa :
 • 1


Hakuna maoni yoyote kwa sasa. Kuwa wa kwanza kutoa maoni yako!
Guest
Wasilisha Maoni Yako
Sakinisha faili au picha kwenye mjadala huu kwa kubonyeza kitufe cha sakinisha hapa chini. Inapokea gif,jpg,png,jpeg,zip,rar,pdf
• Insert • Futa Sakinisha faili (Lisizidi ukubwa wa: 2 MB
Weka Eneo Ulipo

Kuweka eneo ulilopo wakati wa kutoa maoni yako inawezesha wajumbe kujua mahali ulipo.

Latitude:
Longitude:

Jukwaa la Elimika

Mijadala

Afya
 1. Mijadala 6
 2. MIjadala midogo
Kiswahili
 1. Mijadala 20
 2. MIjadala midogo
Michezo
 1. 1 post
 2. MIjadala midogo
Teknolojia
 1. Mijadala 8
 2. MIjadala midogo
Mchanganyiko
 1. Mijadala 18
 2. MIjadala midogo

WASILIANA NASI

Elimika, Ghana Avenue, Posta House
SLP: 73622 Dar Es Salaam, Tanzania
Simu: 0764 006 222
Barua Pepe: info@elimika.co.tz

UNGANA NASI

VIGEZO NA MASHARTI

Ni haki yako kuzifanya taarifa zako kuwa za siri, hivyo basi, taarifa zako ni siri yako na hazitasambazwa popote ila zile zilizo upenuni, zitatumika kwaajili ya maendeleo ya jukwaa hili. Soma Zaidi

©2018 Elimika. Haki Zote Zimehifadhiwa. Imeundwa na SphereCom.

Search