"Elimika, Elimisha, Burudisha"

 1. dr soko jr
 2. Teknolojia
 3. Jumatatu, 15 Januari 2018
Habarini za leo wadau wa maendeleo ya Teknolojia , leo nimeleta jukwaani mfumo wa mawasiliano ( social media ) , iliyo tengenezwa na wazalendo wa kitanzania. ( 2daySky )

Mara kadhaa vijana wa kitanzania wamekuwa wakijituma kuondoa utegemezi wa teknolojia za hali ya juu kutoka mataifa ya nje.

Vijana wetu wametengeneza mtandao ambao hadi sasa una maelfu ya watanzania . Ki ukweli watu wamekuwa wazalendo halisi kwani ni mafuliko makubwa sana ya watanzania wamejiunga.

Mimi naona huu ni wakati sahihi kuwaunga mkono kwa hali na mali .
Tanzania ni yetu moja , tuonyeshe uzalendo kwa kujali vya nyumbani.

Kama uliwahi kuona mtandao huu wiki moja iliyopita . basi kuna mabadiliko makubwa kupindukia , yaliyofanyika jinsi ya kujiunga baofya hapo https://play.google.com/store/apps/details?id=com.a2daysky.ews.todaysky&pli=1
  Dodoma, Tanzania
Visit 
Maoni
Hakuna maoni kwa sasa.
Musa Accepted Answer Pending Moderation
0
Kura
Undo
Mkuu kama huo mtandao unahimiza uzalendo na kuondoa utegemezi kwenye mitandao ya kigeni inakuaje unatumia jina la kigeni?, hauoni tayari umeshaonesha kutokuwa na nia ya dhati ya kusimamia hicho mnachotumia kushawishi kupata watumiaji?.

Pia kwanini mnatumia mtandao mpya kutangaza mtandao wenu ambao tayari una maelfu ya watumiaji tayari kama ulivyoeleza!, hauoni unafanya kitu kinaitwa "Spamming"?.

Mwisho hongereni kwa ubunifu, Tanzania inawahitaji sana.
Maoni
Hakuna maoni kwa sasa.
 1. zaidi ya mwezi 1 uliopita
 2. Teknolojia
 3. # 1
dr soko jr Accepted Answer Pending Moderation
0
Kura
Undo
ok nimekuelea sana mimi ni mdau sana #elimikawikiendi nime post sana kuweza kuatngaza #elimikawikiend tunaishi kama team pia kueleza maswala ya tehama. pia kwa upande wa kuita jina la kigeni sio maana tulikuwa tuanamanisha ndio watu wasisapoti laasha, mkuu kila kitu kina maana pia tunalifanyia kazi na maoni ya watu kuhusu kubadilisha jina hilo pia unaweza
Maoni
Hakuna maoni kwa sasa.
 1. zaidi ya mwezi 1 uliopita
 2. Teknolojia
 3. # 2
 • Kurasa :
 • 1


Hakuna maoni yoyote kwa sasa. Kuwa wa kwanza kutoa maoni yako!
Guest
Wasilisha Maoni Yako
Sakinisha faili au picha kwenye mjadala huu kwa kubonyeza kitufe cha sakinisha hapa chini. Inapokea gif,jpg,png,jpeg,zip,rar,pdf
• Insert • Futa Sakinisha faili (Lisizidi ukubwa wa: 2 MB
Weka Eneo Ulipo

Kuweka eneo ulilopo wakati wa kutoa maoni yako inawezesha wajumbe kujua mahali ulipo.

Latitude:
Longitude:

Jukwaa la Elimika

Mijadala

Afya
 1. Mijadala 6
 2. MIjadala midogo
Kiswahili
 1. Mijadala 20
 2. MIjadala midogo
Michezo
 1. 1 post
 2. MIjadala midogo
Teknolojia
 1. Mijadala 8
 2. MIjadala midogo
Mchanganyiko
 1. Mijadala 18
 2. MIjadala midogo

WASILIANA NASI

Elimika, Ghana Avenue, Posta House
SLP: 73622 Dar Es Salaam, Tanzania
Simu: 0764 006 222
Barua Pepe: info@elimika.co.tz

UNGANA NASI

VIGEZO NA MASHARTI

Ni haki yako kuzifanya taarifa zako kuwa za siri, hivyo basi, taarifa zako ni siri yako na hazitasambazwa popote ila zile zilizo upenuni, zitatumika kwaajili ya maendeleo ya jukwaa hili. Soma Zaidi

©2018 Elimika. Haki Zote Zimehifadhiwa. Imeundwa na SphereCom.

Search