"Elimika, Elimisha, Burudisha"

 1. Yose Hoza
 2. Afya
 3. Alhamisi, 25 Januari 2018
KUKABWA USINGIZINI

Watu wengi hudhani kwamba anaye wakaba usingizini ni JINI lakini Tendo hili kitaalamu linafahamika Kama "Mwili kupooza katikati ya Usingizi" (Sleeping Paralysis)

Hali hii hutokea kwa sekunde 20 tu lakini anaye tokewa huhisi dakika 15 mpaka 20 haswa kwa watu wanaolala chali

Mwili hukosa usawa katika mfumo wa fahamu na kupooza

Kikawaida watu huhisi wamekabwa na jinamizi au jini, ukiwa umejifunika shuka unakosa nguvu ya kusogeza shuka upate hewa safi

Hali hii huondoka baada ya mfumo wa fahamu kurejea katika hali ya kawaida

Kikawaida huwatokea binadamu wakiwa wamelala au unapotaka kuamka

Wakati umelala huwezi kuhisi kwa kuwa mwili unakua umepumzika taratibu hutokea na kupita

Wanaopatwa na hali hii mara nyingi ni wale

Wanaokosa Usingizi
Kutokuwa na mpangilio maalumu wa kulala
Kuchelewa kulala hadi usiku wa manane

Jinsi ya kuepuka

Lala masaa ya kutosha yasiyo pungua 8

Panga chumba vizuri uruhusu hewa safi kupita

Jitahidi kupunguza kuwa na msongo wa mawazo

Fanya mazoezi kuruhusu mfumo ndani ya Mwili kuwa katika hali ya kawaida
Attachments (1)
Maoni
Hakuna maoni kwa sasa.


Hakuna maoni yoyote kwa sasa. Kuwa wa kwanza kutoa maoni yako!
Guest
Wasilisha Maoni Yako
Sakinisha faili au picha kwenye mjadala huu kwa kubonyeza kitufe cha sakinisha hapa chini. Inapokea gif,jpg,png,jpeg,zip,rar,pdf
• Insert • Futa Sakinisha faili (Lisizidi ukubwa wa: 2 MB
Weka Eneo Ulipo

Kuweka eneo ulilopo wakati wa kutoa maoni yako inawezesha wajumbe kujua mahali ulipo.

Latitude:
Longitude:

Jukwaa la Elimika

Mijadala

Afya
 1. Mijadala 6
 2. MIjadala midogo
Kiswahili
 1. Mijadala 20
 2. MIjadala midogo
Michezo
 1. 1 post
 2. MIjadala midogo
Teknolojia
 1. Mijadala 8
 2. MIjadala midogo
Mchanganyiko
 1. Mijadala 18
 2. MIjadala midogo

WASILIANA NASI

Elimika, Ghana Avenue, Posta House
SLP: 73622 Dar Es Salaam, Tanzania
Simu: 0764 006 222
Barua Pepe: info@elimika.co.tz

UNGANA NASI

VIGEZO NA MASHARTI

Ni haki yako kuzifanya taarifa zako kuwa za siri, hivyo basi, taarifa zako ni siri yako na hazitasambazwa popote ila zile zilizo upenuni, zitatumika kwaajili ya maendeleo ya jukwaa hili. Soma Zaidi

©2018 Elimika. Haki Zote Zimehifadhiwa. Imeundwa na SphereCom.

Search