"Elimika, Elimisha, Burudisha"

 1. Paschal Masalu
 2. Teknolojia
 3. Jumanne, 02 Januari 2018
Najaribu kutafakari kwa sauti; namna teknolojia inavyozidi kwenda kwa kasi ndivyo maisha yanavyotakiwa kubadilika ili kushabiiana na kasi hiyo ya ukuaji wa Teknolojia. Aidha, bado jamii nyingi ya nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania, kasi ya ukuaji wa Teknolojia imekuwa kubwa kuliko uhalisia wa mshabiiano kati yake na maisha ya kila siku. Hili unalizungumziaje? Je, nini kifanyike?
Maoni
Hakuna maoni kwa sasa.
Minah Yusuph Accepted Answer Pending Moderation
1
Kura
Undo
Mimi naiona Elimu Kuwa sehemu kubwa ya Kubadilika kutoka hatua ndogo kwenda kubwa.
Changamoto katika Elimu hususani hapa Nchini Tanzania Tumekuwa Wavivu sana wakuandika ndio msingi wa maendeleo yatokanayo na Elimu
Mimi nitakuwa sehemu kubwa ya kukuza Lugha yetu ya Kiswahili
Na miongozo mbalimbali ihusuyo Elimu.
Elimu Imechukua sehemu kubwa ya maisha yangu..
Ni matumaini yangu nitapata ushirikiano wa kuotosha kutoka kwako Mkurugenzi Paschal Masalu Pongezi Nyingi kwa Tovuti na Kuipa Kipaumbele Elimu
Pia kwa Wadau mbalimbali hususani wa Elimu na Maendeleo kwa Ujumla wake Wakati huu wa Matumizi makubwa ya Sayansi na Teknolojojia na Ufanisi wake
Ahsanteni sana na Karibuni sana Tujenge Pamoja
  Chang'ombe, Dar es Salaam, Tanzania
Visit 
Maoni
Hakuna maoni kwa sasa.
 1. zaidi ya mwezi 1 uliopita
 2. Teknolojia
 3. # 1
肯尼迪 Mmari™ Accepted Answer Pending Moderation
0
Kura
Undo
Point nzuri
Maoni
Hakuna maoni kwa sasa.
 1. zaidi ya mwezi 1 uliopita
 2. Teknolojia
 3. # 2
Yose Hoza Accepted Answer Pending Moderation
0
Kura
Undo
Kasi hii haiwagusi wale wasio na utaratibu wa kutafuta taarifa sahihi jinsi ya kuendesha maisha yao ili wajikwamue kiuchumi

Kasi hii huathiri mfumo wa kimaisha kwa jamii kubwa kuiga tamaduni zinazo kinzana na tamaduni zetu

Kasi ya sayansi na teknolojia imekuwa na uwanja mkubwa ya watu kuzitumia changamoto za umaskini na kuibadili hali inayo wapatia kipato
Maoni
Hakuna maoni kwa sasa.
 1. zaidi ya mwezi 1 uliopita
 2. Teknolojia
 3. # 3
dr soko jr Accepted Answer Pending Moderation
0
Kura
Undo
kweli kabisa teknolojia inakuwa kwa kasi kubwa sana saiz kila kitu unaitaji teknolojia kwa mfano 2daysky consultant imeamu kufanya na kusaidia jamii kwa kutumi teknolojia pia wamejaribu kugusa jamii zote kwa sasa kuna mfumo wa shule unaitwa #skyschool kuweza kusaidia kutatua changamoto za ki elimu. tumefanikiwa kwa hili sasa mashule ya meanza kutumia mfumo huo

pia tumeweza kuaidia jamii kwa upande mwingine kuwez kuenda na wakati ku mfumo mwingine unaitwa #skywallet ni mfumo ambao umekuja kusaidi jamii kwa mfano taasi,kampny na wajasiriamali kuweza kutunza kumbukumbu zao kwa njia ya digital wallet kwaiyo kila sehme saiz teknolojia inafaa pia kingine tuazidi kutengeneza mifume mbalimbali

pia 2daysky ni mtandao wa kijamii wenye lengo la kubadilisha mitandao ya kijamii kuwa na chachu na kusaidia jamii na kukutanisha vijana wengi wa afrika masharika kwa sasa
Maoni
Hakuna maoni kwa sasa.
 1. zaidi ya mwezi 1 uliopita
 2. Teknolojia
 3. # 4
 • Kurasa :
 • 1


Hakuna maoni yoyote kwa sasa. Kuwa wa kwanza kutoa maoni yako!
Guest
Wasilisha Maoni Yako
Sakinisha faili au picha kwenye mjadala huu kwa kubonyeza kitufe cha sakinisha hapa chini. Inapokea gif,jpg,png,jpeg,zip,rar,pdf
• Insert • Futa Sakinisha faili (Lisizidi ukubwa wa: 2 MB
Weka Eneo Ulipo

Kuweka eneo ulilopo wakati wa kutoa maoni yako inawezesha wajumbe kujua mahali ulipo.

Latitude:
Longitude:

Jukwaa la Elimika

Mijadala

Afya
 1. Mijadala 6
 2. MIjadala midogo
Kiswahili
 1. Mijadala 20
 2. MIjadala midogo
Michezo
 1. 1 post
 2. MIjadala midogo
Teknolojia
 1. Mijadala 8
 2. MIjadala midogo
Mchanganyiko
 1. Mijadala 18
 2. MIjadala midogo

WASILIANA NASI

Elimika, Ghana Avenue, Posta House
SLP: 73622 Dar Es Salaam, Tanzania
Simu: 0764 006 222
Barua Pepe: info@elimika.co.tz

UNGANA NASI

VIGEZO NA MASHARTI

Ni haki yako kuzifanya taarifa zako kuwa za siri, hivyo basi, taarifa zako ni siri yako na hazitasambazwa popote ila zile zilizo upenuni, zitatumika kwaajili ya maendeleo ya jukwaa hili. Soma Zaidi

©2018 Elimika. Haki Zote Zimehifadhiwa. Imeundwa na SphereCom.

Search