"Elimika, Elimisha, Burudisha"

 1. Samptus
 2. Mchanganyiko
 3. Jumamosi, 20 Januari 2018
Leo ningependa tukumbushane ama tuelimishane kuhusu vigezo halali vya kuthibitisha kuwa nchi Fulani inao utawala Bora wenye Demokrasia ndani yake. Hivyo basi utawala wa Demokrasia ni uwepo wa uthibitisho wa viashiria ama kanuni zifuatazo...

1. Uwepo wa utawala wa wengi
unaoheshimu haki za
wachache.

2. Uwepo wa Taasisi za kiraia zenye ufanisi.

3. Kulinda na kuheshimu haki msingi za binadamu.

4. Uwepo wa sheria zinazoheshimu usawa wa watu.

5. Uvumilivu wa kisiasa na utofauti wa makabila.

6. Viongozi wawajibikaji na watendaji kwa wapiga kura wao.

7. Uwazi katika utendaji kazi.

8. Uchaguzi Huru na wa haki.

9. Mfumo wa vyama vingi vya siasa na upinzani wenye tija.

10. Uchumi huria.

11. Utawala wa sheria na Uhuru wa mahakama.

12. Uwepo wa vyombo huru wa kuzuia matumizi mabaya ya madaraka!

Hivyo,nchi inayoheshimu kanuni Tajwa hap, ndiyo tunaweza iita nchi yenye utawala wa demokrasia!

Asante!....
Maoni
Hakuna maoni kwa sasa.


Hakuna maoni yoyote kwa sasa. Kuwa wa kwanza kutoa maoni yako!
Guest
Wasilisha Maoni Yako
Sakinisha faili au picha kwenye mjadala huu kwa kubonyeza kitufe cha sakinisha hapa chini. Inapokea gif,jpg,png,jpeg,zip,rar,pdf
• Insert • Futa Sakinisha faili (Lisizidi ukubwa wa: 2 MB
Weka Eneo Ulipo

Kuweka eneo ulilopo wakati wa kutoa maoni yako inawezesha wajumbe kujua mahali ulipo.

Latitude:
Longitude:

Jukwaa la Elimika

Mijadala

Afya
 1. Mijadala 6
 2. MIjadala midogo
Kiswahili
 1. Mijadala 20
 2. MIjadala midogo
Michezo
 1. 1 post
 2. MIjadala midogo
Teknolojia
 1. Mijadala 8
 2. MIjadala midogo
Mchanganyiko
 1. Mijadala 18
 2. MIjadala midogo

WASILIANA NASI

Elimika, Ghana Avenue, Posta House
SLP: 73622 Dar Es Salaam, Tanzania
Simu: 0764 006 222
Barua Pepe: info@elimika.co.tz

UNGANA NASI

VIGEZO NA MASHARTI

Ni haki yako kuzifanya taarifa zako kuwa za siri, hivyo basi, taarifa zako ni siri yako na hazitasambazwa popote ila zile zilizo upenuni, zitatumika kwaajili ya maendeleo ya jukwaa hili. Soma Zaidi

©2018 Elimika. Haki Zote Zimehifadhiwa. Imeundwa na SphereCom.

Search