"Elimika, Elimisha, Burudisha"

 1. Julius Kiting'ati
 2. Ujasiriamali
 3. Jumamosi, 03 Februari 2018
Unajua dunia inabadilika kwa kasi sana , hasa kutokana na teknolijia kuwa bora sasa. Nakumbuka miaka ya nyuma kidogo wakati niko na umri mdogo huwa ilikuwa ikifika saa mbili jioni huwa ni muda wa taarifa ya habari. Hiki ni kipindi ambacho unapata kusikia na kujifunza mambo mbalimbali yaliyotokea kwa saa 24 zilizopita. Hakika ilikuwa ni muda wa utulivu na kila jicho huangalia kwenye luninga ama kusikiliza radio. Najua hata wewe umewahi kupitia wakati huu.. na hata sasa ni nzuri zaidi kwa maana kuna vituo mbalimbali ambavyo huonyesha taarifa saa 24.

Katika ulimwengu wa biashara ni changamoto kubwa sana kukosa taarifa. Najua kunakuwa na kazi ama majukumu mengi ambayo humuweka mfanyabiashara mbali na taarifa , lakini kutokana na taarifa ndipo kuna biashara. kama mjasiriamali huwa ni fahari yangu kuangalia habari za dunia na kujua nini kimefanyika na wapi. Weka muda kidogo ili kuweza kujua habari za dunia na hakika itakuwa msaada mkubwa wa kujua dunia. hata dakika kumi hutosha kuwa na taarifa ya dunia ..
Maoni
Hakuna maoni kwa sasa.


Hakuna maoni yoyote kwa sasa. Kuwa wa kwanza kutoa maoni yako!
Guest
Wasilisha Maoni Yako
Sakinisha faili au picha kwenye mjadala huu kwa kubonyeza kitufe cha sakinisha hapa chini. Inapokea gif,jpg,png,jpeg,zip,rar,pdf
• Insert • Futa Sakinisha faili (Lisizidi ukubwa wa: 2 MB
Weka Eneo Ulipo

Kuweka eneo ulilopo wakati wa kutoa maoni yako inawezesha wajumbe kujua mahali ulipo.

Latitude:
Longitude:

Jukwaa la Elimika

Mijadala

Afya
 1. Mijadala 6
 2. MIjadala midogo
Kiswahili
 1. Mijadala 20
 2. MIjadala midogo
Michezo
 1. 1 post
 2. MIjadala midogo
Teknolojia
 1. Mijadala 8
 2. MIjadala midogo
Mchanganyiko
 1. Mijadala 18
 2. MIjadala midogo

WASILIANA NASI

Elimika, Ghana Avenue, Posta House
SLP: 73622 Dar Es Salaam, Tanzania
Simu: 0764 006 222
Barua Pepe: info@elimika.co.tz

UNGANA NASI

VIGEZO NA MASHARTI

Ni haki yako kuzifanya taarifa zako kuwa za siri, hivyo basi, taarifa zako ni siri yako na hazitasambazwa popote ila zile zilizo upenuni, zitatumika kwaajili ya maendeleo ya jukwaa hili. Soma Zaidi

©2018 Elimika. Haki Zote Zimehifadhiwa. Imeundwa na SphereCom.

Search