"Elimika, Elimisha, Burudisha"

 1. Julius Kiting'ati
 2. Ujasiriamali
 3. Alhamisi, 18 Januari 2018
" katika kufanikiwa na kutengeneza fedha nyingi ni kutatua changamoto katika jamii " - Tony Elumelu ( mfanyabiashara Afrika ambaye alitangazwa na jarida la Forbes kuwa namba moja Afrika )

Ni ukweli usipingika kwamba jamii ina changamoto nyingi sana , na kutokana na changamoto hizo jamii inatoa fursa kwa biashara kuweza kutengeneza kipato kikubwa. Biashara kwa mantiki yake ni kutatua changamoto , na hasa katika karne hi ya 21 changamoto ni nyingi sana. Katika sekta ya teknohama (teknolojia) imeonekana kuwa na kasi zaidi kwasababu teknolojia ni suluhisho ya changamoto hapa duniani. Kampuni kubwa duniani kwa sasa ni zile za teknolojia mf. Google , Apple , Facebook , Microsoft n.k ambazo zilifanya ugunduzi wa kustaajabisha.

Ukanda huu wa Afrika changamoto ambayo iko wazi kabisa ni chakula , yaani upatikanaji wa chakula safi na bora kwa jamii. Wafanyabiashara wamekuwa wakitengeneza fedha nyingi sana kutokana na kusambaza na kuhakikisha wanatatua changamoto ya chakula. Kwa ujumla wake kutatua changamoto ni kupata fedha kutoka katika jamii.

Je , unataka kuwa bilionea ajaye Afrika ? ni vema ukaangazia kwanza changamoto zilizopo katika jamii na kuzitatua na hapo ndipo unaeweza kutengeneza kipato. Anhaa, bila kusahau kuongeza thamani katika solution yako.. Afrika yetu inawezekana !
Attachments (1)
Maoni
Hakuna maoni kwa sasa.


Hakuna maoni yoyote kwa sasa. Kuwa wa kwanza kutoa maoni yako!
Guest
Wasilisha Maoni Yako
Sakinisha faili au picha kwenye mjadala huu kwa kubonyeza kitufe cha sakinisha hapa chini. Inapokea gif,jpg,png,jpeg,zip,rar,pdf
• Insert • Futa Sakinisha faili (Lisizidi ukubwa wa: 2 MB
Weka Eneo Ulipo

Kuweka eneo ulilopo wakati wa kutoa maoni yako inawezesha wajumbe kujua mahali ulipo.

Latitude:
Longitude:

Jukwaa la Elimika

Mijadala

Afya
 1. Mijadala 6
 2. MIjadala midogo
Kiswahili
 1. Mijadala 20
 2. MIjadala midogo
Michezo
 1. 1 post
 2. MIjadala midogo
Teknolojia
 1. Mijadala 8
 2. MIjadala midogo
Mchanganyiko
 1. Mijadala 18
 2. MIjadala midogo

WASILIANA NASI

Elimika, Ghana Avenue, Posta House
SLP: 73622 Dar Es Salaam, Tanzania
Simu: 0764 006 222
Barua Pepe: info@elimika.co.tz

UNGANA NASI

VIGEZO NA MASHARTI

Ni haki yako kuzifanya taarifa zako kuwa za siri, hivyo basi, taarifa zako ni siri yako na hazitasambazwa popote ila zile zilizo upenuni, zitatumika kwaajili ya maendeleo ya jukwaa hili. Soma Zaidi

©2018 Elimika. Haki Zote Zimehifadhiwa. Imeundwa na SphereCom.

Search