"Elimika, Elimisha, Burudisha"

 1. Jalilu Zaid
 2. Michezo
 3. Jumatano, 17 Januari 2018
Zama mbali mbali za Wacheza soka zimepita, katika historia ya mpira wa miguu na zingine tukiendelea kushuhudia vipaji lukuki vikiibuka kila iitwapo leo. Walikuwepo akina Edson Arantes almaarufu kama Pele na Diego Armando Maradona Franco wengi hupenda kumuita Diego Maradona ambaye inakumbukwa aliwahi kufunga goli yeye akaliita goli la mkono wa Mungu. Wote hawa na wengine kibao walitikisha ulimwengu kwa nafasi zao katika soka.

Ilikuwa siku ya ijumaa harufu ya wikiendi imeanza kutanda katika kila kona ya nchi ya  Brazil tarehe 21 mwezi wa tatu ya mwaka 1980 alizaliwa kijana mmoja ndani ya jiji la Porto Alegre almaarufu kama (Joyful Harbor) katika nchi ya Brazil. Kijana huyo nani tena.? Ni Ronaldo de Assis Moreira maarufu kama Ronaldinho Gaucho, wengi hupenda kumuita Gaucho. Maana ya Gaucho unajua ni nini.? Waingereza wanasema GAUCHO is a person who takes care of male and female cows.  Lol! Balaa hili sasa msakata kabumbu na kuchunga hao ng’ombe kuna uhusiano gani.? Labda wao wana maana yao nyingine tu. ENDELEA HAPA
Maoni
Hakuna maoni kwa sasa.


Hakuna maoni yoyote kwa sasa. Kuwa wa kwanza kutoa maoni yako!
Guest
Wasilisha Maoni Yako
Sakinisha faili au picha kwenye mjadala huu kwa kubonyeza kitufe cha sakinisha hapa chini. Inapokea gif,jpg,png,jpeg,zip,rar,pdf
• Insert • Futa Sakinisha faili (Lisizidi ukubwa wa: 2 MB
Weka Eneo Ulipo

Kuweka eneo ulilopo wakati wa kutoa maoni yako inawezesha wajumbe kujua mahali ulipo.

Latitude:
Longitude:

Jukwaa la Elimika

Mijadala

Afya
 1. Mijadala 6
 2. MIjadala midogo
Kiswahili
 1. Mijadala 20
 2. MIjadala midogo
Michezo
 1. 1 post
 2. MIjadala midogo
Teknolojia
 1. Mijadala 8
 2. MIjadala midogo
Mchanganyiko
 1. Mijadala 18
 2. MIjadala midogo

WASILIANA NASI

Elimika, Ghana Avenue, Posta House
SLP: 73622 Dar Es Salaam, Tanzania
Simu: 0764 006 222
Barua Pepe: info@elimika.co.tz

UNGANA NASI

VIGEZO NA MASHARTI

Ni haki yako kuzifanya taarifa zako kuwa za siri, hivyo basi, taarifa zako ni siri yako na hazitasambazwa popote ila zile zilizo upenuni, zitatumika kwaajili ya maendeleo ya jukwaa hili. Soma Zaidi

©2018 Elimika. Haki Zote Zimehifadhiwa. Imeundwa na SphereCom.

Search