"Elimika, Elimisha, Burudisha"

 1. Julius Kiting'ati
 2. Ujasiriamali
 3. Jumanne, 16 Januari 2018
Afrika ni bara lenye watu wengi , katika dunia ya sasa ni bara lenye vijana wengi na mpaka mwaka '2030' litakuwa bara lenye vijana wengi kuliko mabara yote. Katika nguvu kazi hii ni fursa , kwamba tutakuwa na uwezo wa kuzalisha mali mara 10 zaidi ya nchi nyingine duniani. Hapa inakuwa inalenga katika kukuza uchumi na kuipeleka Afrika katika uchumi wa kati na hata uchumi wa daraja la kwanza kabisa.

Nimekuwa nikiangazia katika ukanda wa ukuaji uchumi duniani. Yalianza mabara ya kaskazini magharibi , nchi za marekani na Canada zilikuwa zikiongoza hapa na hata kupelekea mabadiliko mengi ya teknohama duniani. Sasa uchumi unavuma katika nchi za Asia yaani ni China , Japan , India n.k , vijana wengi sana kutoka huko wanakuza uchumi kwa kasi sana. Sasa wakati uchumi wa dunia unakua kwa kasi sana Afrika ndio sasa tunaamka na vijana wetu wachapakazi na wachakarikaji katika kuendeleza uchumi wetu wa dunia. Je , tuko tayari kwa maendeleo haya ?

Malengo endelevu ni fursa kwa Dunia na ni fursa katika kutengeneza njia ya maendeleo. Afrika yetu ina nafasi na wakati ni sasa !
Maoni
Hakuna maoni kwa sasa.


Hakuna maoni yoyote kwa sasa. Kuwa wa kwanza kutoa maoni yako!
Guest
Wasilisha Maoni Yako
Sakinisha faili au picha kwenye mjadala huu kwa kubonyeza kitufe cha sakinisha hapa chini. Inapokea gif,jpg,png,jpeg,zip,rar,pdf
• Insert • Futa Sakinisha faili (Lisizidi ukubwa wa: 2 MB
Weka Eneo Ulipo

Kuweka eneo ulilopo wakati wa kutoa maoni yako inawezesha wajumbe kujua mahali ulipo.

Latitude:
Longitude:

Jukwaa la Elimika

Mijadala

Afya
 1. Mijadala 6
 2. MIjadala midogo
Kiswahili
 1. Mijadala 20
 2. MIjadala midogo
Michezo
 1. 1 post
 2. MIjadala midogo
Teknolojia
 1. Mijadala 8
 2. MIjadala midogo
Mchanganyiko
 1. Mijadala 18
 2. MIjadala midogo

WASILIANA NASI

Elimika, Ghana Avenue, Posta House
SLP: 73622 Dar Es Salaam, Tanzania
Simu: 0764 006 222
Barua Pepe: info@elimika.co.tz

UNGANA NASI

VIGEZO NA MASHARTI

Ni haki yako kuzifanya taarifa zako kuwa za siri, hivyo basi, taarifa zako ni siri yako na hazitasambazwa popote ila zile zilizo upenuni, zitatumika kwaajili ya maendeleo ya jukwaa hili. Soma Zaidi

©2018 Elimika. Haki Zote Zimehifadhiwa. Imeundwa na SphereCom.

Search