"Elimika, Elimisha, Burudisha"

 1. dr soko jr
 2. Teknolojia
 3. Jumanne, 16 Januari 2018
2daySky ni social media iliyo tengenezwa na watanzania , lengo ni kuiinua tanzania katika maendeleo ya teknohama kwa kuwa na platform ya kitanzania yenye ubora zaidi , lakini 2daySky inalenga zaidi kufanya mabadiliko katika matumizi ya social media , kuiwezesha jamii kupata huduma mbalimbali kupitia social media ikiwemo habari , huduma za kielimu , afya nk , hatua ya kwanza ilikuwa ni kuwa na platform ambayao ndio hiyo imekamilika , hatua zingine nzinafuata ni za kutengeneza huduma mbalimbali kupitia socila media hii https://play.google.com/store/apps/details?id=com.a2daysky.ews.todaysky&pli=1
Maoni
Hakuna maoni kwa sasa.
Kishala Martin Jr. Accepted Answer Pending Moderation
0
Kura
Undo
"No Item Found" ni ujumbe mrejesho baada ya kufuata link elekezi hapo juu!
Maoni
Hakuna maoni kwa sasa.
 1. zaidi ya mwezi 1 uliopita
 2. Teknolojia
 3. # 1
 • Kurasa :
 • 1


Hakuna maoni yoyote kwa sasa. Kuwa wa kwanza kutoa maoni yako!
Guest
Wasilisha Maoni Yako
Sakinisha faili au picha kwenye mjadala huu kwa kubonyeza kitufe cha sakinisha hapa chini. Inapokea gif,jpg,png,jpeg,zip,rar,pdf
• Insert • Futa Sakinisha faili (Lisizidi ukubwa wa: 2 MB
Weka Eneo Ulipo

Kuweka eneo ulilopo wakati wa kutoa maoni yako inawezesha wajumbe kujua mahali ulipo.

Latitude:
Longitude:

Jukwaa la Elimika

Mijadala

Afya
 1. Mijadala 6
 2. MIjadala midogo
Kiswahili
 1. Mijadala 20
 2. MIjadala midogo
Michezo
 1. 1 post
 2. MIjadala midogo
Teknolojia
 1. Mijadala 8
 2. MIjadala midogo
Mchanganyiko
 1. Mijadala 18
 2. MIjadala midogo

WASILIANA NASI

Elimika, Ghana Avenue, Posta House
SLP: 73622 Dar Es Salaam, Tanzania
Simu: 0764 006 222
Barua Pepe: info@elimika.co.tz

UNGANA NASI

VIGEZO NA MASHARTI

Ni haki yako kuzifanya taarifa zako kuwa za siri, hivyo basi, taarifa zako ni siri yako na hazitasambazwa popote ila zile zilizo upenuni, zitatumika kwaajili ya maendeleo ya jukwaa hili. Soma Zaidi

©2018 Elimika. Haki Zote Zimehifadhiwa. Imeundwa na SphereCom.

Search