"Elimika, Elimisha, Burudisha"

Malezi ya mtoto huanza lini?

Na @SemaTanzania

Leo tunazungumzia malezi kabla, wakati na baada ya mimba. Tungependa kupata mawazo yenu. Je wajua malezi ya mtoto yanaanza muda gani?

Wengi hudhani #Malezi huanza pindi tu mtoto anapozaliwa. La hasha! Malezi huanza pale wazazi/mama anapoamua kubeba ujauzito. Kinga ni bora kuliko tiba na chanjo ni njia muhimu ya kukinga na kuwalinda watoto wetu dhidi ya baadhi ya magonjwa.                                                        

Wengi hudhani kuwa malezi ya mtoto huanza pindi tu mtoto anapozaliwa. La hasha malezi ya mtoto huanza pale wazazi au mama amnapoamua kubeba ujauzito. Chanjo ni dawa inayotengenezwa kwa kutumia vijidudu/virusi vinavyosababisha magonjwa ya maambukizi.

Mfano Chanjo ya pepopunda ni vilevile vijidudu vinavyosababisha pepopunda vinaingizwa mwilini vikiwa vimepunguzwa makali. Malezi ya mtoto yanaanza kabla mimba haijatungwa, maandalizi yaanze Kwa kuhakikisha mtoto anapata kila kinachohitajika akiwa tumboni. #Malezi huanza kabla mimba haijatungwa, maandalizi yaanze Kwa kuhakikisha mtoto anapata kila kinachohitajika akiwa tumboni.

Mtoto anapopewa chanjo mwili wake hupambana na hivyo vijidudu/virusi na kutengeneza kinga dhidi ya virusi hivyo. Kwa mtoto kuzaliwa akiwa na siha njema ni lazima mama aanze kuandaa mwili wake mapema, hasa katika kipindi hiki ambapo vyakula vingi wanavyokula watu havina vitamini za kutosha. Mama anatakiwa kuandaa mwili wake mapema hasa ktk kipindi hiki ambapo vyakula vingi tunavyokula havina vitamini za kutosha.

Virusi katika chanjo huwa vimepunguzwa makali hivyo chanjo haisababishi magonjwa bali hufundisha mwili kupambana na virusi. Mama au binti anashauriwa kuanza kutumia dawa za Vitamini na madini ya chuma (folic Acid) mwaka mmoja kabla ili kuujenga mwili kupokea mtoto au kula vyakula vyenye vitamin kutoka katika makundi matano ya vyakula

Inashauriwa mama kutumia dawa za Vitamini & madini ya chuma (folic Acid) mwaka 1 kabla ili kuujenga mwili kupokea mtoto. Chanjo ya kwanza duniani ilikua ya ugonjwa wa ndui na iligundulika nchini Uingereza mwaka 1796 na Dk. Edward Jenner. Mama pia ale vyakula vyenye vitamin kutoka ktk makundi matano ya vyakula kwaajili ya afya yake na ya mtoto mtarajiwa.

Ugonjwa wa ndui ni wa kwanza kutokomezwa kwa kutumia chanjo na hii ilitangazwa mwaka 1980 na Shirika la Afya Duniani, WHO. Kukosekana Kwa madini ya chuma mwilini ndio chanzo cha ongezeko la watoto kuzaliwa wakiwa na ugonjwa wa mgongo wazi (Spinal bifida) na vichwa kujaa maji (Hydrocephalus) magonjwa ambayo yamekuwa yakiongezeka siku hadi siku.

Kukosekana kwa madini ya chuma mwilini kumechangia ongezeko la watoto wanaozaliwa na ugonjwa wa mgongo wazi (Spinal bifida). Nchini Tanzania, magonjwa yanayokingwa kwa chanjo ni polio, kifua kikuu, pepopunda, dondakoo, kifaduro. Upungufu wa madini ya chuma mwilini pia kumechangia ongezeko la watoto wenye ugonjwa wa vichwa kujaa maji (Hydrocephalus)

Homa ya ini, surua, nimonia, homa ya uti wa mgongo na Rotavirus. Mara nyingi tumezoea kuita ugonjwa wa vichwa vikubwa sababu kichwa cha mtoto kinajaa maji na kuwa kikubwa kuliko kawaida. Kifua kikuu ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea vya bakteria na huenezwa kwa njia ya hewa. Mama aepuke kunywa chai au kahawa pamoja na mlo kwani huzuia ufyonzwaji wa madini chuma na hivyo husababisha upungufu wa damu. Mama aepuke kunywa chai/kahawa pamoja na mlo kwani huzuia ufyonzwaji wa madini chuma na hivyo husababisha upungufu wa damu.

Mtu mwenye kifua kikuu akikohoa/kupiga chafya/kutema mate ovyo husambaza vijidudu hivyo hewani na huweza kuambukiza wengine. Kifua kikuu hukingwa na chanjo ya BCG ambayo hutolewa mara tu mtoto anapozaliwa/anapofika kliniki kwa mara ya kwanza. Mama azingatie lishe bora kabla, wakati na baada ya ujauzito kwaajili ya afya ya mtoto kwanzia akiwa tumboni. Watalaamu wa afya hushauri kuwa iwapo kovu la chanjo halitajitokeza, chanjo irudiwe ndani ya kipindi cha miezi.                                                                                               

Sio hayo tu lakini lishe ya mama ni muhimu Sana kuwezesha ukuwaji wa mtoto akiwa tumboni, mama asipokula vyema mtoto tumboni hakui vyema na hatimaye kuzaliwa na uzito mdogo na hata viungo vyake huwa vidogo ikiwemo moyo ambapo hupelekea watoto wengi wadogo kuwa na magonjwa ya moyo. Mama asipokula vyema mtoto hakui vyema tumboni. Mtoto huzaliwa na uzito mdogo na hata viungo vyake huwa vidogo ikiwemo moyo.

Ili kupunguza uwezekanao wa kupata kifua kikuu ishi kwenye nyumba inayoruhusu mzunguko mzuri wa hewa. Vilevile watoto wanaozaliwa na moyo mdogo huwa na magonjwa ya moyo.  Watoto wanyonyeshwe maziwa ya mama pekee kwa miezi sita na umlikiza kwa vyakula vyenye virutubisho.                                     

Lishe bora izingatiwe tangu msichana akiwa mdogo na kipindi chote cha usichana wake. 'Ng'ombe hanenepi siku ya mnada'. Inashauriwa kuwa mama awe na hali nzuri ya lishe kabla, wakati na baada ya ujauzito Ugonjwa wa polio husababishwa na virusi vya polio vinavyoenezwa kwa njia ya kula na kunywa maji yaliyochafuliwa na kinyesi. Lishe bora itamsaidia kukua na kujengeka kwa maumbile yake hasa upana wa nyonga ambao utamsaidia kuwa na uzazi salama. Polio huweza kuwapata watu wa rika zote lakini watoto wenye umri chini ya miaka 15 ndio huathirika zaidi. Hali hii nzuri ya lishe inatakiwa ijengwe tangu mama akiwa mtoto mdogo na kipindi chote cha usichana wake. Polio hushambulia mishipa ya fahamu na huweza kupooza misuli ya miguu, mikono/yote kwa pamoja na pengine misuli ya kiwambo. Pamoja na hilo, lishe bora humsaidia mama kupata maziwa ya kutosha na yenye virutubisho vyote kwaajili ya mtoto

Kupata kinga kamili, mtoto wa umri chini ya mwaka mmoja lazima akamilishe chanjo ya kuzuia polio kwa kupata matone mara nne. Lishe bora itamsaidia kukua na kujengeka kwa maumbile yake hasa upana wa nyonga ambao utamsaidia kuwa na uzazi salama na hatimaye kuweza kunyonyesha vizuri. Yaani chanjo ya kwanza mara tu azaliwapo, ya pili akiwa na wiki sita, ya tatu katika wiki ya 10 na ya nne akiwa na wiki 14. Wataalamu wanashauri kwamba mtoto anapokuwa tumboni kitu cha kwanza kwa wazazi kufanya hasa mama ni kuhakikisha mama anakuwa katika hali nzuri ya kimawazo, asiwe na msongo wa mawazo kila mara anapokuwa tumboni mama anatakiwa awe ktk hali nzuri ya kimawazo. Yaani asiwe na msongo wa mawazo kila mara.

Mtoto hutegemea afya ya mama kimwili & kiakili akue vyema. Msongo wa mawazo huathiri makuzi yake kisaikolojia na kimhemko. kuwa mama anakuwa sawa kimawazo. Dk. T.Verny mtaalamu wa makuzi ya awali ya mtoto anasema uchangamshi wa mtoto angali tumboni husaidia makuzi imara ya mwili. Katika kipindi cha ujauzito, wazazi wanaweza kumfanyia mtoto matendo ya uchangamshi kwa kuongea nae akiwa tumboni. Msongo wa mawazo huathiri makuzi ya mtoto kisaikolojia na kimhemko kwahiyo ni vyema baba na mama wahakikishe kuwa mama anakuwa sawa kimawazo kipindi chote cha ujauzito kwa kuwa mtoto anategemea sana afya ya mama kimwili na kiakili ili akue vyema.

Seli mpya huzalishwa ktk ubongo wa mtoto kila dakika na huchochea ukuaji wa milango ya fahamu k.v. kusikia, kuona, kunusa. Katika kipindi cha ujauzito ni muhimu kumfanyai mtoto matendo ya uchangamshi tangu akiwa tumboni, ni vyema mama na baba waweke utaratibu wa kuongea na mtoto tangu akiwa tumboni. Dr. Thomas R. Verny mtaalamu wa makuzi ya awali ya mtoto anasema kuwa makuzi ya awali ya mtoto yanasaidia makuzi imara kwenye mwili wa mtoto. 

Wazazi wajenge desturi ya kupapasa tumbo taratibu & kuongea na mtoto. Kuna kipindi mtoto ataitika kwa kucheza tumboni. Katika kila dakika kuna seli mpya inazalishwa kwenye ubongo wa mtoto na hizi seli ndizo huchochea ukuaji wa milango ya fahamu kama kusikia, kuona, kunusa, nakadhalika. Uchangamshi humsaidia mtoto akue vyema ktk kizazi na hata baada ya kuzaliwa atakuwa na makuzi mazuri kisaikolojia na kimwili. Dk.Thomas anashauri kuwa mama na baba wajenge desturi ya kulipapasa tumbo taratibu na kuongea na mtoto na mama atagundua kuwa kuna kupindi mtoto atakuwa akiitika kwa kucheza tumboni

Mtoto atakapozaliwa atahitaji kuwasiliana, kutembea, kupumua, kuona. Uwezo huu hauanzi pindi anapozaliwa, unaanzia tumboni. Mama anapofanya hivi anajenga mazingira mazuri kwa mtoto kukua vyema kwenye kizazi na hata baada ya kuzaliwa mtoto atakuwa na makuzi mazuri kisaikolojia na kimwili. Matendo changamshi humfanya mtoto ahisi upendo na amani. Humtaarisha kuyakabili mazingira yake pindi atakapozaliwa. Mtoto atakapozaliwa atahitaji kuwasiliana, kutembea,kupumua,kuona na hizi hazianzi pindi tu anapozaliwa, zinaanzia tumboni kwahiyo ni vyema matendo ya uchangamshi yaanzie tumboni ili kuimarisha ufahamu wa mtoto

Familia nzima ijiandae kumpokea kichanga. Kama kuna watoto wengine vyema waandaliwe kisaikolojia kumpokea mdogo wao. Matendo changamshi humfanya mtoto ahisi upendo na amani na pia kuwa tayari kuyakabili mazingira yake pindi atakapozaliwa. Siku zote familia ni vyema ijiandae kumpokea kichanga, kama kuna watoto wengine wakubwa ni vyema nao waandaliwe kisaikolojia kukubali kuwa mama atapunguza kidogo tahadhari kwao na kuelekeza umakini wake kwa kichanga. Watoto waelewe mama atapunguza kidogo tahadhari kwao na kuelekeza umakini kwa kichanga. Ni mtoto wa familia nzima. Wampende                                                         

Katika kipindi hiki mtoto anyonyeshwe maziwa ya mama tu kwa kipindi cha miezi sita bila kupewa kingine chochote hata maji kwani maziwa ya mama yana virutubishi vyote vinavyohitajika kwa ajili ya ukuaji  na maendeleo  ya mtoto. Baada ya kuzaliwa mtoto anyonyeshwe maziwa ya mama tu kwa kipindi cha miezi 6 bila kupewa kingine chochote hata maji. Maziwa ya mama yana virutubisho vyote vinavyohitajika kwa ajili ya ukuaji  na maendeleo  ya mtoto. Mama anyonyeshe mtoto usiku na mchana na kila anapohitaji,ni muhimu baba/wanafamilia wengine wanamsaidie mama kazi na shughuli nyingine ili mama apate muda wa kutosha kumnyonyesha mtoto wake. Mama anyonyeshe mtoto usiku na mchana na kila anapohitaji. Baba/wanafamilia wengine wamsaidie shughuli ili apate muda wa kutosha kunyonyesha                                                                                  

Katika kipindi hiki matendo ya uchangamshi yanaendelea, ni vyema mama ajenge utamaduni wa kumnyonyesha mtoto huku akimuangalia usoni na kumsemesha taratibu na hata kumuimbia nyimbo, vivyo hivyo na wanafamilia wengine waongee na mtoto ili kumchangamsha. Mama ajenge utamaduni wa kumnyonyesha mtoto huku akimuangalia usoni na kumsemesha taratibu, hata kumuimbia nyimbo. Vivyo hivyo, wanafamilia wengine waongee na mtoto ili kumchangamsha. Uchangamshi huendelea baada ya mtoto kuzaliwa. Mtoto awekewe vifaa salama vya kuchezea kulingana na umri wake na viwe na rangi mbalimbali

Mtoto awekewe vifaa salama vya kuchezea kulingana na umri wake na viwe na rangi mbalimbali. Kiujumla, ili mtoto azaliwe na afya njema mama anatakiwa azingatie lishe bora, mazoezi, apumzike na aepuke msongo wa mawazo. Mama pia azingatie uchangamshi wa mtoto kuanzia akiwa 

0
0
0
s2sdefault

WASILIANA NASI

Elimika, Ghana Avenue, Posta House
SLP: 73622 Dar Es Salaam, Tanzania
Simu: 0764 006 222
Barua Pepe: info@elimika.co.tz

UNGANA NASI

VIGEZO NA MASHARTI

Ni haki yako kuzifanya taarifa zako kuwa za siri, hivyo basi, taarifa zako ni siri yako na hazitasambazwa popote ila zile zilizo upenuni, zitatumika kwaajili ya maendeleo ya jukwaa hili. Soma Zaidi

©2018 Elimika. Haki Zote Zimehifadhiwa. Imeundwa na SphereCom.

Search