"Elimika, Elimisha, Burudisha"

Uongozi katika Nukuu

Na Aidan Eyakuze

#Uongozi_Kujitambua

Getting in touch with your true self must be your first priority (Kujitambua iwe kipaumbele chako cha kwanza) Tom Hopkins

Leadership is an intense journey into yourself. Every morning I say, 'I could have done three things better yesterday.' (Uongozi ni safari ngumu kwa kiongozi. Kila asubuhi nasema, ‘Jana ningefanya mambo matatu bora zaidi’) Jeffrey R. Immelt

A good leader takes more than his share of the blame & less than his share of the credit [Kiongozi mzuri hukubali lawama zaidi ya anazostahili & huchukua sehemu kidogo tu ya sifa anazostahili] - Arnold Glasow

Today a reader, tomorrow a leader [msomaji wa leo, kiongozi wa kesho]. Margaret Fuller

#Uongozi_Kuthubutu

If the highest aim of a captain were to preserve his ship he would keep it in port forever. (Kama lengo kuu la nahodha lingekuwa ni kuhifadhi meli yake angeitunza bandarini milele.) Thomas Aquinas

Managers are efficient at climbing ladders. Leaders decide if the ladder is leaning against the right wall. (Mameneja huwa wafanisi katika kuzipanda ngazi. Viongozi huamua iwapo ngazi imeegemea ukuta sahihi) Stephen Covey

The task of the leader is to get his people from where they are to where they have not been. (Kazi ya kiongozi ni kuwatoa watu wake toka walipo kwenda ambapo hawajafika) Henry Kissinger

Leadership is defined by results not attributes. (Tafsiri ya uongozi ni matokeo si sifa) Peter Drucker

#Uongozi_Kushawishi

If your actions inspire others to dream, learn, do & become more, you are a leader. (Iwapo matendo yako huhamasisha wengine kuwa na maono, kujifunza, kutenda & kuwa bora, wewe ni kiongozi.) John Quincy Adams

I’m not afraid of an army of lions led by a sheep but of an army of sheep led by a lion. [Mie sina hofu na jeshi la simba linaloongozwa na kondoo bali jeshi la kondoo linaloongozwa na simba] - Alexander the Great

Successful leadership today is about influence, not authority. (Mafanikio ya uongozi leo yapo katika ushawishi, si mamlaka) Ken Blanchard

A leader is a dealer in hope. (Kiongozi ni mjenzi wa matumaini) Napoleon Bonaparte

0
0
0
s2sdefault

WASILIANA NASI

Elimika, Ghana Avenue, Posta House
SLP: 73622 Dar Es Salaam, Tanzania
Simu: 0764 006 222
Barua Pepe: info@elimika.co.tz

UNGANA NASI

VIGEZO NA MASHARTI

Ni haki yako kuzifanya taarifa zako kuwa za siri, hivyo basi, taarifa zako ni siri yako na hazitasambazwa popote ila zile zilizo upenuni, zitatumika kwaajili ya maendeleo ya jukwaa hili. Soma Zaidi

©2018 Elimika. Haki Zote Zimehifadhiwa. Imeundwa na SphereCom.

Search